WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU WAMEFIKA KWENYE OFISI ZA MIKOPO ELIMU YA JUU
wanafunzi hao kutoka vyuo vilivyopo mkoa wa Dar es salaam wamefika
katika ofisi za bodi ya mikopo ya elimu ya juu Heslb ili kupewa majibu
ya sababu za wao kukosa mikopo ingali wanasifa za kupata mikopo hiyo
hata hivo mkuu wa mawasiliano wa bodi ya mikopo ndugu OMEGA NGOLE
amewataka wanafunzi kuwa wavulimivu kwani wanaendelea na uchambuzi
majina yao kwa awamu nyingine ambapo mwishoni mwa wiki hii wanatajia
kutoa wamu nyingine na pia kutanagaza hatua ya rufaa kama
itakavyoelekezwa na bodi hiyo ya mikopo

No comments: